Makasisi Waingia Uislamu ; Priests Embracing Islam ; KASISI YUSUFU ESTES ALIYEKUWA MFANYABIASHARA WA KIKRISTO &
MUHUBIRI (USA) -
ABDULLAH M. AL-FARUQUE ALIYEKUWA AKIIITWA KENETH L. JENKINS,
MCHUNGAJI NA MZEE WA KANISA LA PENTECOSTAL. (USA) -
DR. JERALD F. DIRKS (ABU YAHYA) ALIYEKUWA MCHUNGAJI (SHEMASI) -
WA KANISA LA MUUNGANO WA WAMETHODISTI. ANA STASHAHADA YA
UZAMILI YA THEOLOJIA YA CHUO KIKUU CHA HARVARD NA STASHAHADA
YA UDAKITARI WA FALSAFA KATIKA MAMBO YA KISAIKOLOJIA YA CHUO
KIKUU CHA DENVER. (USA) -
SISTA KHADIJA “SUE” WATSON ALIYEKUWA MCHUNGAJI, MMISHIONARI,
NA PROFESA ANA STASHAHADA YA UZAMILI YA MASWALA YA THEOLOJIA
(NI MMAREKANI MWENYE ASILI YA KIFILIPINO)
IBRAHIM KHALIL AHMED (IBRAHIM KHALIL PHILOBUS) PADRI WA COPTIC
NA NI MMISHIONARI (MISRI) -
MARTIN JOHN MWAIPOPO ALIYEKUWA KASISI MKUU WA KILUTHERANI
(TANZANIA) -
RAPHAEL NARBAEZ ALIYEKUWA MCHUNGAJI WA MASHAHIDI WA
YEHOVA (USA) -
GEORGE ANTHONY – ALIYEKUWA PADRI WA KIKATOLIKI (SRI LANKA) -
DR. GARY MILLER (ABDUL-AHAD OMAR) MWANAHISABATI NA
MMISHIONARI WA KIKRISTO (CANADA) -
REV. DAVID BENJAMIN KELDANI (ABDUL’L-AHAD DAWUD) (IRAN) -
MUHAMMAD AMAN HOBHM MWANADIPLOMASIA, MMISHIONARI NA
MFANYAKAZI WA KAZI ZA JAMII (UJERUMANI) -
PADRI MKUU VIACHESLAV POLOSIN (URUSI) - Imetayarishwa na: Abo Karim El-Marakshy