FacebookTwitterYouTubeDailymotionScribdCalameo
SlideshareIssuuPinterestWhatsAppInstagramTelegram
Chat About Islam Now
Choose your country & click on the link of your language.
Find nearby Islamic centers & GPS location on the map.

Our Islamic Library contains:
Islamic TVs channels LIVE
Islamic Radios LIVE
Multimedia ( Videos )
Multimedia ( Audios )
Listen to Quran
Articles
Morality in Islam
Islam Q & A
Misconceptions
Interactive files & QR codes
The Noble Qur'an
Understanding Islam
Comparative Religions
Islamic topics
Women in Islam
Prophet Muhammad (PBUH)
Qur'an and Modern Science
Children
Answering Atheism
Islamic CDs
Islamic DVDs
Presentations and flashes
Friend sites

Articles' sections



Author:


Go on with your language:
qrcode

SIFA ZA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU KATIKA AGANO LA KALE NA QURAN TUKUFU
MTAYARISHAJI: Sheikh RAAJII RIDHWA-LLAAH

Viewed:
2379
Mpendwa msomaji: Je, unaamini kuwa Mwenyezi Mungu ana sifa za ukamilifu? Kama jibu lako ni ndio… Hapana budi kitabu chake kilichoteremshwa kwa wanadamu nacho kiwe kikamilifu. Je, unaamini kuwa Manabii na Mitume, amani iwe juu yao, wamelindwa na wapo safi hawafanyi maasi, uzinzi na machafu? Je, hapo kabla, umeshawahi kufanya mlinganisho baina ya sifa za Mwenyezi Mungu Mtukufu katika Agano la Kale na Quran Tukufu? Mimi ninakuomba kwa mapenzi yote na moyo safi, tafuta uhakika katika kitabu hiki ambacho huenda kikafungua – Mungu akipenda – nyoyo za wale wenye shauku ya kuokoka na kuongoka. Samahani ewe mpendwa msomaji, kwa kutaja baadhi ya maandiko ya kimapenzi yenye kutia aibu. Kwani mimi nimenukuu kwa ajili ya kutolea ushahidi tu.
 
All copyrights©2006 Islamic-Invitation.com
See the Copyrights Fatwa